Kenya Imekuwa Bora Kutokana na Walibora

Prof.Ken Walibora. PICHA: Chuo Kikuu cha Riara Huku taifa zima likiendelea kuomboleza kifo cha ghafla cha gwiji wa Kiswahili Prof. Ken Walibora, kipindi hiki cha maombolezi pia ni cha kutafakari kuhusu mchangowake mkubwa katika kuikuza lugha ya Kiswahili nchini. Ni wazi kuwa wengi wameelezea hisia za walivyomfahamu Walibora, walivyotagusana naye na jitimiai zao kufuatia  kifo … Continue reading Kenya Imekuwa Bora Kutokana na Walibora

Advertisement